Vestine & Dorcas - USiSiTE

Vestine & Dorcas – USiSiTE

USISITE 🎵
Director: Chriss Eazy
Music: Popieeh
Lyrics ✍️: Niyo Bosco and M.Irene
Artenate Director: Sinta Filmz

LYRICS :
Inuka Juuu kuriko makovu yako
Inuka kwenye majivuu,
kwa sababu Huyu ni mdaa wako
Mungu atatimiza ahadi zote zako
utakumbatia mabadiriko mapya ,

Minyororo inakatika, kuta zinaanguka
When Jesus says Yes
Alikuwuumba kwa udongo ,
Akamwanga Damu yake kwa ajili yako
Yeye hasemi uongo , ni mwamifu every time x2

Alifungua njia kati ya bahari
Na mapito kati ya maji yenye nguvu nyingi
Msiyakumbuke mambo ya zamani.
Aliitenda jambo jipyaaa Tazama

Leo na Kesho anakujaza furaha
Anaweka Maneno katika vitendo Jarah
Chochote wanachopanga
it doesn’t really Matter USISITE
Mwaminiye kwanza Baraka zitafuuata USISITE
Ana kujua , Anakukumbuka
USISITE
Anakutunza ,Anakufahamu
USISITE

Kama vile mbingu zilivyo juu kuliko,Dunia
hivyo ndivyo asiyeringanishwa na mwanadamu
Mungu ni Bwana wa yasiyowezekana
Kesi yako sio mkuu
Mgongo wake ni mwema na uko daima kukubeba ,
Nyosha mikono yako, naye atakushika
Yeye ni mzazi mwenye rehema ,
Mkimbilie atakupokeya ,
Ni yeye tu anayeweza kuponya majeraha yako

Yeye kamwe hashindwi
Tuna ushuhuda mwingi ,
Our Father is the King .
Never Be , Never Be Afraid

Alifungua njia kati ya bahari
Na mapito kati ya maji yenye nguvu nyingi
Msiyakumbuke mambo ya zamani.
Aliitenda jambo jipyaaa Tazama

Leo na Kesho anakujaza furaha
Anaweka Maneno katika vitendo Jarah
Chochote wanachopanga
it doesn’t really Matter USISITE
Mwaminiye kwanza Baraka zitafuuata USISITE
Ana kujua , Anakukumbuka
USISITE
Anakutunza ,Anakufahamu
USISITE

Mipango yake kwako ni njema hawezi kukuacha Yatima
he is always there for you USISISITE X 4

Aliitenda jambo jipyaaa Tazama

Leo na Kesho anakujaza furaha
Anaweka Maneno katika vitendo Jarah
Chochote wanachopanga
it doesn’t really Matter USISITE
Mwaminiye kwanza Baraka zitafuuata USISITE
Ana kujua , Anakukumbuka
USISITE
Anakutunza ,Anakufahamu
USISITE

MIE Music “Jesus is our Shepherd’

Leave a Reply

Back To Top