Click Master - Achika (feat. Almandrah X Promise Africa & Kidbizz99)

Click Master – Achika (feat. Almandrah X Promise Africa & Kidbizz99)

Achika Lyrics

Ukiachwa
(Achika)
We ukitemwa
(Temeka)
Ukiachwa
(Achika)
We ukitemwa
(Temeka)

Mapenzi ni burudani, ukifosi utajuta
Ukiachwa achika, ukifutwa futika
Ni kama shetani akipita amepita
We kama takataka, tafuta lingine chaka utampata

We hakipashwi kiporo
We hakipashwi kiporo
Ukitemwa temeka, kumbatia mito godoro
We hakipashwi kiporo
We hakipashwi kiporo
Ukitemwa temeka, kumbatia mito godoro

Ukiachwa
(Achika)
We ukitemwa
(Temeka)
Ukiachwa
(Achika)
We ukitemwa
(Temeka)

Izo huruma za uchuro nishaachaga
Nyuma tukibwagana basi
Nijilegeze turudiane, mwisho ulipe kisasi
Mapenzi kwangu daladala, ukisha shuka ndo basi
Ukirudi utashushwa, utapandishwa kwa macho

Asa kwanini nikurudie?
Ukitemeka temeka usinishikilie
Mi natumbo bovu, kiporo kwangu noma
Nimempata sijampata, haikuusu koma
Kuliko kurudi kwako bora nitue goma
Kurudia matapishi, hapana nimegoma
Kwani cha ajabu nini?
Mimi mwenyewe mtoto wa mjini, mapenzi hayanitishi
Utaja kusanuka lini kama limechacha
Hata ukipasha halitanoga pishi

We hakipashwi kiporo
We hakipashwi kiporo
Ukitemwa temeka, kumbatia mito godoro
We hakipashwi kiporo
We hakipashwi kiporo
Ukitemwa temeka, kumbatia mito godoro

Ukiachwa
(Achika)
We ukitemwa
(Temeka)
Ukiachwa
(Achika)
We ukitemwa
(Temeka)

Leave a Reply

Back To Top