Jay Melody - Turudiane

Jay Melody – Turudiane

LYRICS

Onaa naaa nana nanaaaah
Anaitwaje uyo jay
Jay once again

Nilikukosea naomba unisamehe
Nishajionea kwamba sina lolote
Bila wewe siwezi endelea
Naomba tuendelee
Yalikua matamu mapenzi yetu
Yalikua super aaah

Ex dua gani uliyoisoma ah
Kama ndo chamoto nimekiona
Aku siwezi
Kujifanya niko sawa kumbe inachoma
Inaumiza
Nimeshindwa kukaza
mwanzako natakaa

Turudiane
Mwenzio nataka
Turudiane
Mwenzako nataka aah
Turudiane
Mwenzio nataka
Turudiane
Once again

Verse 2
Saa sita saa saba usiku
Nitakupigia nna kitu
Nawe pokea japo tu
Nikuongeleshe kakitu
Huku nje kila mtu wa mtu
Nishakua single masiku
Basi nielewe kiduchu
Tumalize hili beaf

Ex dua gani uliyoisoma ah
Kama ndo chamoto nimekiona
Aku siwezi
Kujifanya niko sawa kumbe inachoma
Inaumiza
Nimeshindwa kukaza
mwanzako natakaa

Nimeshindwa
Ku move on
Nimeshindwa
Ku move on
Hata siwezi
Ku move on
Wanawezaje
Ku move on

Leave a Reply

Back To Top