Lil Vix - YOU (feat. Bando Mc)

Lil Vix – YOU (feat. Bando Mc)

“YOU” ni wimbo mpya wenye hisia kali kutoka kwa Lil Vix akishirikiana na Bando Mc. Ni ngoma inayozungumzia upendo wa kweli na mshikizo wa hisia ambao hauwezi kufutika. Hii ni ngoma ya kipekee inayochanganya ladha ya Afrobeat na Bongo Flavor kwa style mpya kabisa.

Leave a Reply

Back To Top