Walter Chilambo – Hajanisahau (feat. Japhet Zabron)
LYRICS
Mwanzoni nilijua nikiomba
Labda Mungu hatosikia Nikiomba
Tena nilijua na vile simuoni
Hivi kweli anasikia
Shida zikinizidia nikiyumba yumba
Hivi kweli anaona
Anatambua
Maswali najiuliza
Navile simuoni hivi kweli anasikia
Nilijua amenisahau
Ame niforget yaani hanikumbuki
Hanitambui
Niliona niko peke yangu
Kumbe baba yangu anaishi ndani yangu
Msaada wangu
Hook
Haijalishi …nina vidonda kiasi gani…niteseka kiasi gani…Niumizwe kiasi gani…Mungu yuko upande wangu …hajanisahau
Haijalishi…hata nichoke kiasi gani…Nifute machozi kiasi gani….Nisubiri kiasi gani …Mungu yuko upande wangu …hajanisahau
Chorus
Bwana ndiye mchungaji wangu mimi
SITAOGOPA EEH
SITAOGOPA KAMWE
SITAOGOPA TENA
SITAOGOPA MAANA
HAJANISAHAU
HATONISAHAU X2
JAPHET VERSE 2
Na shetani alipojua
Nina wasiwasi mimi
Alifikiria mi ni game player
Kacheza na imani yangu
Alidhani napoteza muda
Nikiomba Mungu ni kiziwi
Wala hasikii….hasikii tena
Na Yesu ni tofauti
Akaja kunikumbusha
Mungu yuko upande wangu
Nisiogope chochote
Maana Yeye hunilinda
Yeye hunitunza
Kwa dhati yeye anipenda…..anipenda