Appy - Jizi

Appy’s Official Lyric Audio For ‘Jizi’

Lyrics—–

[Verse 1]
Unavyotaka nataka hivyo hivyo
We si unauza mwili
Watu tumeuza Roho
Kwa kipi unajionaga
Ooooh ntakutia migumi
Mi niende nikanyee ndoo

[Bridge]
Watu tuna miguu ya kuku
Thubutu tuna mitutu tutu
Uselete utukutu huku kwetu
Hivyo vitu marufuku

[Chorus]
Hilo hapo jizi la mabwana aaah
Hilo hapo jizi la mabebebe eeeh
Hilo hapo jizi la mabwana aaah
Hilo hapo jizi la ma bebebe eeeh

[Verse 2]
Unajifanya kishandu
We bandika bandu
Tafuta wako achana na wakwangu
Naskia una mganga Marangu
Mwingine msamvu
Hizo tabia zako
Zikome kwa baby wangu
Habari nyingi
Kwani we ni George Marato
Naskia Sinza Kwa Remi wamekupa kichapo
Ambuli chichi ambuli chichichi
Jitu lenyewe linanuka ka samaki mbichi
ambulichichi ambulichichi
Jitu lenyewe linanuka samaki mbichi

[Bridge]
Watu tuna miguu ya kuku
Thubutu tuna mitutu tutu
Uselete utukutu huku kwetu
Hivyo vitu marufuku

Hilo hapo jizi la mabwana aaah
Hilo hapo jizi la mabebebe eeeh
Hilo hapo jizi la mabwana aaah
Hilo hapo jizi la ma bebebe eeeh

Habari nyingi
Kwani we ni George Marato
Naskia sinza Kwa Remi wamekupa kichapo
Ambuli chichi ambuli chichichi
Jitu lenyewe linanuka ka samaki mbichi
Ambulichichi ambulichichi
Jitu lenyewe linanuka samaki mbich

Leave a Reply

Back To Top