Mattan - Huenda Nakosea [Acoustic Version]

Mattan – Huenda Nakosea [Acoustic Version]

HUENDA NAKOSEA ni wimbo unaozungumzia maumivu ya kumpenda mtu kwa dhati lakini usipate upendo unaostahili. Ni simulizi ya moyo unaovumilia, unaopenda kwa kweli, lakini unalipwa kwa dharau, ukimya na kutothaminiwa.
Wimbo huu unawakilisha hisia za wengi ambao wamewahi kujitolea kwa mapenzi ya kweli, lakini mwisho wake wamebaki na maswali na maumivu. Huwenda Nakosea unakukumbusha kuwa wakati mwingine kumpenda mtu kupita kiasi kunaweza kukuumiza.
Kama umewahi kupitia hali kama hii, wimbo huu ni kwa ajili yako.

Leave a Reply

Back To Top